TCU guide book for academic year 2014/2015

wangewange

Senior Member
Joined
Oct 4, 2013
Posts
189
Reaction score
43
Habariii wana jamiiiii
Kama kichwa cha habar kilivo hapo juu, kwa anayefaham atufahamishe kama guide book ya2014/2015 imeshatoka tayari ,need for application into degree•••

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
=====================================================================================================================
Undergraduate Admissions Guidebook for the 2014/15 Academic Year
 
inapatikana wapi? mi nimeangalia mtandaoni sijaona iyo guide book,
 
kama sijaelewa vizuri. Katika hyo guidebook kuna ile column ya admission requirements wameandika diploma(teacher education or NTA level 6) sasa wanamaanisha mtu anaweza kuapply degree hata kozi tofauti na ed? Naombeni maelezo kwa aliye ielewa vizuri.
 
Inategemea na chuo..we angalia requirement kwenye chuo husika kwa hiyo column
 
Naomba kuuliza... nimemaliza 2008 form six nkapata H=D,Eng=S,Geo=E, naweza kupata chuo...Nataka niombe OPEN UNIVERSTY OF TZ
 
Naomba kuuliza... nimemaliza 2008 form six nkapata H=D,Eng=S,Geo=E, naweza kupata chuo...Nataka niombe OPEN UNIVERSTY OF TZ

utapata mkuu sababu una vigezo vyote, just apply tu before dedline 31 agst2014,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…