Msolid1990
Senior Member
- Apr 2, 2012
- 144
- 50
someni sayansii'!,,, sera ya sayansi kupewa kipaumbele imekuwepo tangu mimi sijaanza chuo!,, na nimesoma course ya miaka mitano na nipo mtaani mwaka wa pili sasa!,, sembuse ninyi leo hii!!,,,someni sayansi vijana,, engineering, IT, architecture, microbiology, Chemistry, MD, orthopedix, mbn course kibao za sayansi, hazina hata watu???? Mnakimbilia sociology na political science, y????????

WanaJF kama mmesoma tcu guideline book wameonesha kila kozi katika kila chuo pamoja na mkopo unaoweza kupata. na kwa mkopo ni kwa kozi za science tu kwa arts na biashara hakuna mkopo hata kama ni education kwa biashara na arts ni 50% tu inatolewa. Sasa najiuliza je migomo itaisha vyuoni????
Tatizo likowapi? Huwezi kwenda kusoma mavitu yasiyokuwa na mchango katika uchumi kama kuogelea,mazingaombwe na mashairi halafu upewe mkopo, vilazaaaa!
Unajua ulichokiandika?WanaJF kama mmesoma tcu guideline book wameonesha kila kozi katika kila chuo pamoja na mkopo unaoweza kupata. na kwa mkopo ni kwa kozi za science tu kwa arts na biashara hakuna mkopo hata kama ni education
Na hiyo 50% imetokea wapi wakati umesema kwa arts na biashara hamna mkopo at all??kwa biashara na arts ni 50% tu inatolewa. Sasa najiuliza je migomo itaisha vyuoni????
TUC guide book iko wapi? Let us confirm your statements before making contribution on your post.
...kadri sku znavyoenda wanaosoma art wanazdi kubanwa ktu ambacho knakatsha tamaa sio tu kwa wanafunz bali hata kwa wazaz pia ... kama art ingekuwa nyepes kusingekuwa na zero za art..so serikali iliangalie hili swala ....ikishndwa bas masomo ya art yafutwe ili tujue moja serikali haina akili
Ahsante babaa..umesema umesoma kozi ya miaka mitano na ni sayansi lakini upo mtaani!!! Unafanya nn sasa mtaani?
...kadri sku znavyoenda wanaosoma art wanazdi kubanwa ktu ambacho knakatsha tamaa sio tu kwa wanafunz bali hata kwa wazaz pia ... kama art ingekuwa nyepes kusingekuwa na zero za art..so serikali iliangalie hili swala ....ikishndwa bas masomo ya art yafutwe ili tujue moja serikali haina akili
Tatizo likowapi? Huwezi kwenda kusoma mavitu yasiyokuwa na mchango katika uchumi kama kuogelea,mazingaombwe na mashairi halafu upewe mkopo, vilazaaaa!
Suala sio kufuta art, bali serikali imeona uhaba wa wanasayansi. We fikiria, hata kukamuliwa jipu, kukwanguliwa mba/fungus kichwani, kuvimbiwa wagonjwa wanapelekwa india.