yaan m2 anachanganua tu sentence kwa njia ya matawi,halafu 2mpe mkopo?acheni uvivu bana,watu hawatasoma bachelor sasa,nendeni diploma,maana ni cheap,waoneeni huruma wazazi,kweli mzazi ajibane kukusomesha tangu std 1 hadi form six,bado akulipie tena mamilioni chuoni,halafu ukimaliza huna kazi,unaanza kumbwerambwera 2 mjini,huku unajisifia na ka degree kako ka BA kiswahili sijui historia au kakiingereza
Short minded
...kadri sku znavyoenda wanaosoma art wanazdi kubanwa ktu ambacho knakatsha tamaa sio tu kwa wanafunz bali hata kwa wazaz pia ... kama art ingekuwa nyepes kusingekuwa na zero za art..so serikali iliangalie hili swala ....ikishndwa bas masomo ya art yafutwe ili tujue moja serikali haina akili
Suala sio kufuta art, bali serikali imeona uhaba wa wanasayansi. We fikiria, hata kukamuliwa jipu, kukwanguliwa mba/fungus kichwani, kuvimbiwa wagonjwa wanapelekwa india.
Nchi zote zilizoendelea swala la mkopo halihusu kozi. Afterall anayechukua mkopo atalipa at the end of day. Why introducing all these stringents. Ni aina fulani tu ya unyanyasaji. I advice these fellows to think back this decision and take a deep soul searching in what they are about to do.
Wanafunzi wanachagua kozi ambazo zina maslahi kwao. Attractive job packages ndio motivation ya mwanafunzi kuchukua sayansi au la, na sio kulazimisha mtu kuchukua kozi fulani eti kwasababu ndio mkopo unapatikana huko, what a joke?
Hebu weka wazi hapo ueleweke, hizi arts na biashara mkopo ni 50% au hamna kabisa?? umenichanganya hapo, andika ueleweke....................WanaJF kama mmesoma tcu guideline book wameonesha kila kozi katika kila chuo pamoja na mkopo unaoweza kupata. na kwa mkopo ni kwa kozi za science tu kwa arts na biashara hakuna mkopo hata kama ni education kwa biashara na arts ni 50% tu inatolewa. Sasa najiuliza je migomo itaisha vyuoni????
Hebu weka wazi hapo ueleweke, hizi arts na biashara mkopo ni 50% au hamna kabisa?? umenichanganya hapo, andika ueleweke....................
Mkuu USILINGANIAHE SCIENCE NA ART, PIA HESLB NDO WANATOA TAARIFA HIVYO KWA ARTS NA BIASHALA WAZAZI NI KUJIPANGA KULIPIA VIJANA WAO, SUBIRI ACSEE 2014 UONE SCIENCE ITAKAVYO JAA WATU NDO UTAJUA WABONGO HATUENDI BILA KULAZIMISHWA.Yani ni 50 au no loan non-priority kabisa,napendekeza bodi ifutwe tujue moja kama ni gharama au hii michepuo ya sanaa na biashara ifutwe na siyo kuendekeza utabaka,hakuna somo rahisi,isikie tu kwa watu hebu lisome tukuone
Serikali iangalie suala la kutoa elimu ya chuo kikuu bure ila qualification izingatiwe, isiwe ili mradi tu ufaulu.