E elank54 JF-Expert Member Joined Aug 23, 2011 Posts 479 Reaction score 21 Aug 14, 2012 #1 Huyu jamaa atakua na details zetu, kama yupo humu adondoshe mzigo
F fidelis zul zorander JF-Expert Member Joined Mar 6, 2012 Posts 685 Reaction score 176 Aug 14, 2012 #2 msubiri hapo hapo anakuja sasa hivi...
SAMORE TOURE Senior Member Joined Aug 5, 2012 Posts 116 Reaction score 9 Aug 14, 2012 #3 Hivi ku hack ndo kufanya nn jamani?
Msherwa JF-Expert Member Joined Aug 4, 2012 Posts 1,323 Reaction score 1,230 Aug 14, 2012 #4 kunyang'anya, jamaa kajimilikisha tcu! Ahahaha
ndupa JF-Expert Member Joined Jan 25, 2008 Posts 4,403 Reaction score 148 Aug 14, 2012 #5 hii ndo bongo wakuu...kila kitu hooooooooooooooooovyoooooo anzia kwa kiranja wa nchi mpaka watu wa kawaida...siki zinaenda maisha yanasonga...
hii ndo bongo wakuu...kila kitu hooooooooooooooooovyoooooo anzia kwa kiranja wa nchi mpaka watu wa kawaida...siki zinaenda maisha yanasonga...
R rajoh Senior Member Joined Jun 2, 2011 Posts 174 Reaction score 142 Aug 14, 2012 #6 ku hack ni kutumia ujuzi wa mtu katika computer programming ili kuweza kuingilia taarifa za siri za mtu huyo katika e mail au website au software flan bila ya ridhaa ya muhusika. Nawasilisha.
ku hack ni kutumia ujuzi wa mtu katika computer programming ili kuweza kuingilia taarifa za siri za mtu huyo katika e mail au website au software flan bila ya ridhaa ya muhusika. Nawasilisha.