KabelindeDidier
Member
- Aug 29, 2013
- 58
- 8
hivi wanamaana gani kutema watu wengi kiasi kile jameni watu 12889 ni wengi sana aise ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi wanamaana gani kutema watu wengi kiasi kile jameni watu 12889 ni wengi sana aise ...
ha ha ha ha ha ha......hapa ndo ninapoikubaligi serikali yetu........inaaachiaaaaa weeeeeeee....laikini inajua mashudu/makapi itakuja kuyatema wapi......wakikuachia std 7 wanakuja kukudaka fom4,wakikuachia fom 4 basi fom 6 wako nawe,wakikuachia fom 6 basi TCU anakupiga 2nd round....aha ha aha ha ah ah aha ha............nakumbuka sisi tuliomaliza fom 4 2007 waliachia kinomaaaaaaa...........walivokuja kutukazia huku mbele sikuamin......i love Tanzania.....ha ha ha hahivi wanamaana gani kutema watu wengi kiasi kile jameni watu 12889 ni wengi sana aise ...
Elewa tuko kwenye BRN hivyo magoli yalipanuliwa,ikasababisha hata walio na uwezo wa mwisho "wakafaulu" kwa As and B+s, Bs etc. Kila mmoja alijiona ana uwezo wa kuchagua kozi yoyyote katika vyuo maarufu. What does this mean- stiff competition- after careful scrutiny,wengi wakaachwa maana kila mmoja alikuwa amechagua vyuo "vizuri- eg UDSM, MUHAS, Mzumbe, SUA ( vya serikali). then come private ones-KCMC,CUHAS etc. What next, ? to re-apply with such a big number
Mbona kwenye list yako sijaona UDOM au sio chuo cha public?
ha ha ha ha ha ha......hapa ndo ninapoikubaligi serikali yetu........inaaachiaaaaa weeeeeeee....laikini inajua mashudu/makapi itakuja kuyatema wapi......wakikuachia std 7 wanakuja kukudaka fom4,wakikuachia fom 4 basi fom 6 wako nawe,wakikuachia fom 6 basi TCU anakupiga 2nd round....aha ha aha ha ah ah aha ha............nakumbuka sisi tuliomaliza fom 4 2007 waliachia kinomaaaaaaa...........walivokuja kutukazia huku mbele sikuamin......i love Tanzania.....ha ha ha ha
jamaa mbna ckuelew"kwahyo unataka kusema waliotemwa wote ni mashudu? mbna kna wnye one za point6 wametemwa na wnye three za point13 wamechkuliwa??? unanipa was was
Huyo mwenye one point sita aliaplly wapi na course gani???....jibu kwanza afu tuendelee
Huyo mwenye one point sita aliaplly wapi na course gani???....jibu kwanza afu tuendelee
Watu wamesha sahau kufuzu kujiunga na chuo kunaanzia mbali sana na ndiomaana wanahitaji matokeo yako ya IV na IV kama hauko vizuri watakukamata mahali!