Tcu hawa siwaelewi kabisa..

Joined
Aug 29, 2013
Posts
58
Reaction score
8
hivi wanamaana gani kutema watu wengi kiasi kile jameni watu 12889 ni wengi sana aise ...
 
Wametemwa au wamepewa nafasi ya kufanya machaguo mara ya pili?
Mbona hii huwa ni kawaida kila mwaka,
 
hivi wanamaana gani kutema watu wengi kiasi kile jameni watu 12889 ni wengi sana aise ...

Elewa tuko kwenye BRN hivyo magoli yalipanuliwa,ikasababisha hata walio na uwezo wa mwisho "wakafaulu" kwa As and B+s, Bs etc. Kila mmoja alijiona ana uwezo wa kuchagua kozi yoyyote katika vyuo maarufu. What does this mean- stiff competition- after careful scrutiny,wengi wakaachwa maana kila mmoja alikuwa amechagua vyuo "vizuri- eg UDSM, MUHAS, Mzumbe, SUA ( vya serikali). then comes private ones-KCMC,CUHAS etc. What next, ? to re-apply with such a big number
 
hivi wanamaana gani kutema watu wengi kiasi kile jameni watu 12889 ni wengi sana aise ...
ha ha ha ha ha ha......hapa ndo ninapoikubaligi serikali yetu........inaaachiaaaaa weeeeeeee....laikini inajua mashudu/makapi itakuja kuyatema wapi......wakikuachia std 7 wanakuja kukudaka fom4,wakikuachia fom 4 basi fom 6 wako nawe,wakikuachia fom 6 basi TCU anakupiga 2nd round....aha ha aha ha ah ah aha ha............nakumbuka sisi tuliomaliza fom 4 2007 waliachia kinomaaaaaaa...........walivokuja kutukazia huku mbele sikuamin......i love Tanzania.....ha ha ha ha
 
Mbona kwenye list yako sijaona UDOM au sio chuo cha public?
 
jamaa mbna ckuelew"kwahyo unataka kusema waliotemwa wote ni mashudu? mbna kna wnye one za point6 wametemwa na wnye three za point13 wamechkuliwa??? unanipa was was
 
jamaa mbna ckuelew"kwahyo unataka kusema waliotemwa wote ni mashudu? mbna kna wnye one za point6 wametemwa na wnye three za point13 wamechkuliwa??? unanipa was was

Huyo mwenye one point sita aliaplly wapi na course gani???....jibu kwanza afu tuendelee
 
Huyo mwenye one point sita aliaplly wapi na course gani???....jibu kwanza afu tuendelee

tatzo xio kaaply wap" ww ulcho xema n kwmba TCU mashudu yote wnatupa 2nd selection sasa cjui na yy kama amekuwa mashudu wakati mwny three ya mwsho kachaguliwa" * lakn xo kes alchagua vyuo hv hapa"" St.Fransis, MUHAS, UDOM & KCMC , Haaf BAM ana B na GS ana C
 
Watu wamesha sahau kufuzu kujiunga na chuo kunaanzia mbali sana na ndiomaana wanahitaji matokeo yako ya IV na IV kama hauko vizuri watakukamata mahali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…