TCU hawachagui kwa usawa

LABDA UMEKOSA VIGEZO KATIKA MATOKEO YAKO YA FOUR MAANA MLIMAN SI HUWA WANA GRADE ZAO WANAZOZITAKA O LEVEL
Maths-A
PHYSICS-B+
CHEM-B+
BIOLOGY-B+
ENGLISH-B+
KISWAHILI-B+
CIVICS-B

Hayo ndo matokeo yangu ya olevel na advance nkapata

Gs-F
PHYSICS-B
CHEMISTRY-C
MATHS-C

so nashindwaa kuwaelewaa hawaa jamaa
 
Mleta mada muongo sana,sema ukweli,nina dogo angu amepata UDSM(matokea ya awali yaliyowekwa humu kabla ya changes) Civil akiwa na PCM yenye CCD
 
Sio ww tu hayo yametukuta weng, mtu hakufikii ata kwa ufaulu alaf amechaguliwa ss wengne tumetemwa
 
Mleta mada muongo sana,sema ukweli,nina dogo angu amepata UDSM(matokea ya awali yaliyowekwa humu kabla ya changes) Civil akiwa na PCM yenye CCD
Bradhaaa usipanic APA sitafutii kikii chekiii S1098/0505/2016
 
Huo mtiririko wa kwanza uweke uchague Mbeya University of science and Technology, tatizo mnang'ang'ania majina ya vyuo lakini kwenye Engineering employers wanajua products za vyuo vyote uwezo wao jina la chuo halina msaada sana.
 
Labda SIRO service in random order[emoji40]
 
Mleta mada muongo sana,sema ukweli,nina dogo angu amepata UDSM(matokea ya awali yaliyowekwa humu kabla ya changes) Civil akiwa na PCM yenye CCD
We muongo CCD Hamna atakaepata civil huu mwaka.
Sababu ya wao kukosa ni hii hapa.
1.One zpo nyngi.
2.admission capacity za koz z engneering kwa vyuo kama udsm ardhi DIT na must ni chache .
MFANO udsm petroleum=15 Electrical=60 civil=30.
3.This admission capacity n the same in DIT must ardhi na udsm.
4.naomba uniambie kuna division one ngap za PCM????
 
wewe ndio liongo,eti Civil UDSM capacity ni 30,kasome guideline Civil ni 180 students,petroleum ni 20,electrical 40.usije kuwa unaangalia UD ya India.
 
petroleum engineering, zpo 12 . ila kuna jamaa ana DDE ile j pili nliona kapata,sasa cjui ni uchawi au bahati
 
Mleta mada muongo sana,sema ukweli,nina dogo angu amepata UDSM(matokea ya awali yaliyowekwa humu kabla ya changes) Civil akiwa na PCM yenye CCD
Sio muongo na bahati pia inachangia ujue....
kuna wengine wana two wamepata na wengine one wamekosa..
Unahisi anataka kudanganya ilii iwejee...
Wachaa akilii uchwara wee kubwaa jingaaa...
Shame on uu
 
True bahati tu na maombi Kwa sana
 
Sio muongo na bahati pia inachangia ujue....
kuna wengine wana two wamepata na wengine one wamekosa..
Unahisi anataka kudanganya ilii iwejee...
Wachaa akilii uchwara wee kubwaa jingaaa...
Shame on uu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mmmmmh akil_uchwara
 
Nashauri.

Omba Civil Eng. ya Ardhi
 
Mkuu kuna kitu kidogo tu hujajua ni kuwa TCU HAWAHUSIKI NA KUCHAGUA WANAFUNZI BALI WAHUSIKA NI CHUO HUSIKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…