Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Hivi karibuni TCU ilitangaza majina ya wanafunzi walioomba kwa sifa za elimu ya kidato cha sita kujiunga katika baadhi vyuo vya elimu ya juu kwa mwaka 2010/2011 (GONGA HAPA) . TCU kikiwa ndio chombo kinachohusika na ithibati ya viwango vya elimu ya juu, iliahidi kumalizia majina katika vyuo vilivyosalia. Lakini cha kushangaza baadhi ya vyuo vimeshatoa majina ya watakaojiunga na kuibypass TCU. Mfano mzuri ni "chuo kikuu" cha kiisilamu Morogoro (MUM) ambacho kimetoa majina tayari (GONGA HAPA). Swali langu:
1) TCU inawatambua hao wanafunzi waliochaguliwa kwa sifa za "direct entry" katika chuo hicho, na kwamba waliomba kupitia Central admission System (CAS) ya TCU?
2) Je, idadi yote ile imeingia kwa "Equivalent Qualifications" ?
3) Ikigundulika kama waliomba as "direct entry" na hawakupitia CAS ya TCU, yenyewe (TCU) inasemaje kuhusu kuvitambua vyeti vyao watakapohitimu?
Yeyote mwenye majibu anaweza kuniwekea hapa, ila muda wa registration ukifika na mambo yakawa hivi hivi hayajawekwa bayana, nitaipeleka hii kule TCU na kama wana majibu nitayaweka hapa, ili ikibidi hata vyuo vingine mwakani viibypass TCU.