Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Yaan kuna jamaa wapo hapo help desk wanakosa weledi kabisa..... Wakat mwngne huwa nahis ndo madhara ya kupeana kazi kwa kujuana..........hawana lugha nzur pia kuna mmoja huyo anavyoongea utafikir analazimishwa kufanya kazi pia anaweza kukuweka hewan mda mreeeeeefu .... Acheni hizo bwana mjirekebishe sio poa kabisa