Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Umetupwa hko ndo ujue hivyo.
Ni Mkwawa mkuu.Hiyo kozi uliyoikuta ni ya chuo gani?
Dah!! man me mwenyewe hivyo hivyo..niliwekaga medicine kama first choice nikabadili na kuweka pharmacy sasa hivi nimekuta medicine kama first choice...hawa tcu wanacheza na akili zetu mazee...Jamani muda huu nimelog in kwenye account yangu kuona kama kuna jipya.Cha ajabu nimekuta ktk zile program nilizochagua kuna moja imeondolewa na badala yake kwenye ile nafasi nimekuta kozi nyingine ya chuo kingine.Kozi niliyoikuta niliwahi kuiweka ila nilikuja kuibadilisha na sikuwahi kuirudisha tena mpaka ule muda wa kufanya changes ulipoisha.Na siku zote ilikuwa haipo ila nimeshangaa kuikuta sasa hivi. Naomba kama kuna mwingine amekuta kitu kama hiki atujuze.
Dah!! man me mwenyewe hivyo hivyo..niliwekaga medicine kama first choice nikabadili na kuweka pharmacy sasa hivi nimekuta medicine kama first choice...hawa tcu wanacheza na akili zetu mazee...
one point 9 nina C flat...matokeo yako yakoje?
one point 9 nina C flat...
kwahiyo inamaana kwamba hamna kilicho haribika...?ila selection tayari.
Selection teyari.. Mnachkiona ni just database error, yaani imeingia virus
'Acheni kuvunjana moyo, woote mtaenda vyuo mnavyo vitaka..
Selection teyari.. Mnachkiona ni just database error, yaani imeingia virus
'Acheni kuvunjana moyo, woote mtaenda vyuo mnavyo vitaka..
alafu hii kitu ukute ni ukweli ndani yakejamani form6 livaz selection bado mpaka mwezi wa tisa ok! kwa iyo kama ni tempopigen,kamanikulimalimeni sana ,