Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Wadau nimejaribu kufanya online application ya TCU kwa Category ya equivalent yaani diploma in education (teacher) mbona inazingua vipi ni tatizo langu tu au ni kwa wote.Naombeni msaada nifanyaje maana imenichanganya