Super Sub Steve JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 17,404 Reaction score 10,900 May 1, 2012 #1 Wadau nimejaribu kufanya online application ya TCU kwa Category ya equivalent yaani diploma in education (teacher) mbona inazingua vipi ni tatizo langu tu au ni kwa wote.Naombeni msaada nifanyaje maana imenichanganya
Wadau nimejaribu kufanya online application ya TCU kwa Category ya equivalent yaani diploma in education (teacher) mbona inazingua vipi ni tatizo langu tu au ni kwa wote.Naombeni msaada nifanyaje maana imenichanganya