CBG ndio hawasomi ualimu? Kwa akili hizo wamefanya makosa kukupanga chuo. Ungefaa urudie masomo sekondari
Kama una diploma ya ualimu unatakiwa kuwa na gpa ngap il usome degree? Je unaweza ukapata mkopo kama ni mwalimu wa sayansi?
kapala mpya,badilisha course mpya haraka,hizo maana yake haujameet minimum requirement za kujiunga na chuo.
nadhani ni mimi peke yangu kumbe tupo wengi, mi nimeshituka, nikadhani kuna mtu kaiba password zangu nakunibadilishia course, mi nimesoma hkl, wananipangia course za biashara na divinity ambazo sikuomba kabisa alafu na vyuo walivyonichagulia sijaomba ata kimoja.