Tcu jamani vp

Tcu jamani vp

Safre

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2010
Posts
273
Reaction score
36
Hawa jamaa hawafai katika dunia ya leo mda unamata sana kama ulimwambia mtu tarehe 18 mwez flan kuna watu watapoteza mda wao pesa zao kutafuta selection au na hili nalo limekaa ki siasa
 
mi nakubaliana na wewe maana wamekuwa na ahadi kama za wanasiasa! kama kazi hawaiwezi wangeviachia vyuo vikaendelea na utaratibu wake! kwakweli huu ni ukiritimba wa wazi na kurudisha nyuma maendeleo! hivi hawa wanafunzi watajianda lini na mahitaji ya chuo au wanataka kutuambia watawapa kila kitu maana chuo sio lelemama huwezi ukaondoka tu unaenda chuo u neeed to prepare with a lot of things which need a lot of money and not every body can afford this in a blink of a night! let take example SAUT student need to report at the end of this month so how are they going to do so if there is no selection from TCU where most of used that way to apply for selection. let be serious especially with important issues like this. Tuachane na siasa maana elimu na siasa havichangamani let be like other countries where people are serious with time management
 
Matokeo hayo ni vyuo kumi tu hawa jamaa wasanii kwel
 
Mie naona bora wangewaachia vyuo hizo kazi 2 cos naona wao zimewashinda
 
Kama kuna mtu kapata ya ifm iaa na mzumbe mliman udom tuambiane
 
Back
Top Bottom