Jamani wana jf mimi ni kati ya watu waliochaguliwa kujiunga na chuo cha kairuki lakini jina chuoni halipo cha kushangaza ukienda chuoni wanasema rudi tcu ukienda tcu wanakwambia,ukiona jina chuoni halipo basi chuo kimekukataa yaani huna sifa za kujiunga na chuo hicho.
sasa swali kazi ya tcu ni nini?, na iweje tcu wakuone una sifa halafu chuo kikuone huna sifa jamani naomba mnisaidie.
sasa swali kazi ya tcu ni nini?, na iweje tcu wakuone una sifa halafu chuo kikuone huna sifa jamani naomba mnisaidie.