TCU karibuni JF

Emhegele

Senior Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
122
Reaction score
6
tunawaomba TCU angalau waingie kuchungulia humu jaman tunayo meng tumenyoosha vidole.
 
Sema shida yako kijana

Jaman mwenzenu skubahatika kuchungulia post zilionyeshwa via airtel. But nilijaribu ku log in a/c yangu inaonyesha Selection Status; Not Yet processed! Heslb nao wametoa jina langu halina cheti cha kuzaliwa ila nimeshakituma via Ems toka alhamis iliyopta. Hasa nashndwa kuelewa nmeshakosa chuo au? Maana tayari nmepoteza mwaka mzma mtaani.
 

pole sana ila naomba kujua cheti cha kuzaliwa ulituma original copy au photocopy?
 

Kwani ukilogin katika account yako pale kwenye application pakoje??kama inakubali application basi unaweza kufanya kama ukiona haipo active basi ujue chuo umepata
 

Ondoa hofu kijana wengi wametuma kwa njia hiyo, wanasubiri toleo rasmi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…