TCU Kwa kutokuwa CURRENT!!!

Mgimiloko

Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
24
Reaction score
2
Yaani baada ya kuongeza muda wa 2nd round,hii sasa sijui tuiite 3rd round? Hadi tarehe 7 tena mwezi wa 9.....Namna Heslb si 18?
 
Daah hawa kweli ni watu wa ajabu, kuna watu wanawahi kufungua vyuo cjui hawajui? Yan ndugu kama ni kweli wametuweza makabwela, ila tuombe Mungu sana.
 
jiandaeni wakuu majina yanatoka af umepangiwa chuo kinachofungua kesho yake hahaha
 
Yaani baada ya kuongeza muda wa 2nd round,hii sasa sijui tuiite 3rd round? Hadi tarehe 7 tena mwezi wa 9.....Namna Heslb si 18?

Hiyo inawahus wale wa diploma{NTL 6 Level} ambao walishindwa kuapply kwenye 2nd around
 
Sasa hawa jamaa sijui watapata nini,nafasi zilizobaki wazi ni sawa na hakuna kitu. Nafasi ya mtu kupata chaguo lake ni ngumu sana, Namshukuru Mungu nilipata 1st round.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…