TCU kwanini vyuo vyetu havitoa degree za online

TCU kwanini vyuo vyetu havitoa degree za online

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
2,204
Reaction score
2,085
TCU kwanini vyuo vyetu havitoa degree za online.

Nina uhitaji mkubwa sana wa kusoma Degree ya Accounting online lakini sijaona chuo chochote kinachotoa kozi hiyo kwa njia ya online Tanzania.
Shida iko wapi.
 
mamb ya online bongo naonaga propaganda tu ingia venue mkuu
 
Hii mifumo kwa nchi yetu umakin unahitajika kabla ya kuingia kichwa kichwa maana tunaweza jikuta tunazalisha vyeti feki
 
Open University wameweza kwani hilo ndio lao lakini vyuo vingine badohavija amka, naamini ndani ya miaka kama 10 ijayo tutabadilika. Watanzania wengi hawaja elewa au kuthamini online education.
 
Back
Top Bottom