EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Soma Mbele MkuuTCU kwanini vyuo vyetu havitoa degree za online.
Nina uhitaji mkubwa sana wa kusoma Degree ya Accounting online lakini sijaona chuo chochote kinachotoa kozi hiyo kwa njia ya online Tanzania.
Shida iko wapi.
nimeshindwa sababu ya ada kuwa juu mno.
Tumia mfumo wa OPEN AND DISTANCE LEARNING (ODL)nimeshindwa sababu ya ada kuwa juu mno.
kumbe upo mkuu, na vipi ufanyaji wa mitihani.Tumia mfumo wa OPEN AND DISTANCE LEARNING (ODL)
... OPEN UNIVERSITY
Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
Unafanyia Centre mkoa husikaakumbe upo mkuu, na vipi ufanyaji wa mitihani.
okay, sasa wengine tunategemea kusafiri kwenda mbali na Tanzania tunafanyaje sasa