Hey guys has anyone tried to log in in his/her TCU account today? coz I have tried this morning around 9:40am with failure and it doesn't give any error message.
jamani tcu hawatatoa majina kabla ya vyuo kuwatangaza wanafunzi mnakuwa ka wageni wa mambo haya mwaka jana ilikua hv hv jina unaliona chuo ulichoomba kwanza then tcu