Tcu mambo teyari 4 some universities, pls check your emails

joji19

Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
32
Reaction score
6
Oya masela, chekini chekini emails zenu, tcu mambo teyari bwana wamesha anza tuma selection za vyuo! Namshukuru mungu nime-receive mail ya selection yangu. Ila Siyo kwa vyuo vyote, so kwa yeyote aliepata emails toka chuo chochote, ruhusa kutiririka na atujuze ili awapunguzie pressure wengine
 
We hutaji chako unataka wengine wataje...anza na cha kwako
 
Me mwenyewe bila bila mtoa mada ungesema chuo gani ingekua rahisi
 
ndo mambo ya teknology hayo,
kutoka kwenye barua na majina magazetini mpaka kwenye kutumiwa email.
safi sana.
 
Oya masela, chekini chekini emails zenu, tcu mambo teyari bwana wamesha anza tuma selection za vyuo! Namshukuru mungu nime-receive mail ya selection yangu. Ila Siyo kwa vyuo vyote, so kwa yeyote aliepata emails toka chuo chochote, ruhusa kutiririka na atujuze ili awapunguzie pressure wengine
kijana acha kuchanganya watu akili,we umepangiwa wapi?? na ni vyuo gani wametoa selection bila kutangaza?? selections hazijatoka kwa nnavyojua!! labda kama kuna TCU nyingine hapa TZ..FIKIRI KABLA YA KUCHUKUA HATUA!!!
 
Possibly hyo itakua ni tcu ya kichina.
 
Oya masela, its herbert kairuki memorial university, then ni email ambayo imetumwa kwa watu wengi tu! Cause kunalist ya email addresses za watu waliotumiwa zimeambatanishwa. Pamoja na jina na address ya admission officer ili uweze reply. Napia si huko tuu. Nimesikia pia kuna baadhi ya watu wanasema kuna vyuo vingine pia wametumiwa, basi kama kuna mwingine atujuze
 
kijana acha kuchanganya watu akili,we umepangiwa wapi?? na ni vyuo gani wametoa selection bila kutangaza?? selections hazijatoka kwa nnavyojua!! labda kama kuna TCU nyingine hapa TZ..FIKIRI KABLA YA KUCHUKUA HATUA!!!

oya man! Lengo la mimi kutoa mada hii ni kutaka kuwajuza wenzangu kama mimi tulio apply chuo hicho na pia nipate update kutoka walio apply vyou vingine. And am a matured person bana i have no time to fool around.
 
mbna sijaona email yoyote

keep on waiting and have faith cause like last year, chuo kimoja kimoja walianza kuwa notify selected applicant wao, kabla ya the general public. Basi for this year kairuki may wamekuwa wa kwanza kutu notify walio tuchagua. Msife moyo kwani bado mapema mtajulishwatu
 
Back
Top Bottom