Tcu-mliofanya second application selection zenu hizi hapa

MKINDE

Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
43
Reaction score
45
Habari, kama wewe ulifanya second application kwa wale ambao walikosea application zao. Ukitaka kujua course uliyochaguliwa na chuo ingia kwenye profile yako, bofya kwenye view my selection status, chuo na course utakayoikuta ndiyo hiyo uliyochaguliwa. MUHIMU: kama ukikuta chuo na course yako imebadilika basi ujue ndiyo TCU yetu hiyo vumilia ila hiyo unayoiona hapo haitobadilika tena labda uende ukabadilishe ukiwa ndani ya chuo husika.
TETESI: Hadi ijumaa ya wiki hii mambo yatakuwa mazuri. Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…