Tcu mnalitambua hili?

Tcu mnalitambua hili?

milioni

Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
17
Reaction score
1
Mwanachuo anayesoma Bachelor of Arts with Education,mojor subject ni Computer science.kuna usawa hapo?HIKI NI CHUO KIKUU CHA TUMAINI MAKUMIRA.
 
kweli Elimu imevamiwa. Kwahiyo anakula ma-programing!.

Nategemea miaka michache ijayo kusikia arts nao wanasoma engineering.
 
Kwan shida iko wapi?

unafahamu computer science kweli.

Ni vigumu kwa mtu aliyesoma arts kufanya vizuri kwenye computer science.
Maprogrammer wazuri ni wale ambao ni wazuri kwenye hesabu, je Arts ni wazuri kwenye hesabu?

Inahusisha sana mathematics kama Foundations Analysis, Numeric Analysis, Operational Research, Discrete Mathematics n.k. Je Arts ana uwezo wa kuyamudu haya?

Kuna Programing ing Java, c ,c++ n.k, zinahitaji mathematics je arts ana uwezo wj kumudu?.

Hitimisho:
hapo ni uhuni mtupu, na wanachafua jina la hiyo kozi.
 
  • Thanks
Reactions: mja

dah!ila kweli mkuu.
 
Kwao ni suala la kawaida kama mtu wa HGL unampeleka kwenda kusoma kozi zenye full number unategemea nini mtu ambaye aliacha hesabu toka o level
 
kweli Elimu imevamiwa. Kwahiyo anakula ma-programing!.

Nategemea miaka michache ijayo kusikia arts nao wanasoma engineering.

siku hizi umekua kweli höngera! MZEE
 
Kwao ni suala la kawaida kama mtu wa HGL unampeleka kwenda kusoma kozi zenye full number unategemea nini mtu ambaye aliacha hesabu toka o level

Elimu imevamiwa.
 
unafahamu computer science kweli.

Ni vigumu kwa mtu aliyesoma arts kufanya vizuri kwenye computer science.
Maprogrammer wazuri ni wale ambao ni wazuri kwenye hesabu, je Arts ni wazuri kwenye hesabu?

Inahusisha sana mathematics kama Foundations Analysis, Numeric Analysis, Operational Research, Discrete Mathematics n.k. Je Arts ana uwezo wa kuyamudu haya?

Kuna Programing ing Java, c ,c++ n.k, zinahitaji mathematics je arts ana uwezo wj kumudu?.

Hitimisho:
hapo ni uhuni mtupu, na wanachafua jina la hiyo kozi.
Mwalimu gani asiyejua hesabu?Yaan kuwa mwalimu wa lugha ndio kukufanye ushindwe hesabu kabisaaa?Hiyo programming sio engineering jamani,unaposema kitu kina mahesabu makali sana,uwe umekisoma!Huwezi fananisha na Engineering!Our teachers should be smart,and smart people should understand maths a bit!
Hatutaki walimu zero kichwani!Belivdat
 
Mwanachuo anayesoma Bachelor of Arts with Education,mojor subject ni Computer science.kuna usawa hapo?HIKI NI CHUO KIKUU CHA TUMAINI MAKUMIRA.

Hiyo ndo mfumo wa elimu ya Tz babu!
 
Kwao ni suala la kawaida kama mtu wa HGL unampeleka kwenda kusoma kozi zenye full number unategemea nini mtu ambaye aliacha hesabu toka o level

mkuu hapa alaumiwe nani?
 
Mwalimu gani asiyejua hesabu?Yaan kuwa mwalimu wa lugha ndio kukufanye ushindwe hesabu kabisaaa?Hiyo programming sio engineering jamani,unaposema kitu kina mahesabu makali sana,uwe umekisoma!Huwezi fananisha na Engineering!Our teachers should be smart,and smart people should understand maths a bit!
Hatutaki walimu zero kichwani!Belivdat

Hamtaki wakati ndo walim mliokwisha kuwaandaa au mmewaandaa alafu warudi baada kwaajili ya hesabu?!
 
Tanzania kuna watu wawili wakulima na wafanyakazi, je hawa watu ndo tunawaanda kwa maprograming & arts
 
EGM,PCB na CBG wenyewe hawagusi hii computer science,itakuwa ngwini!acheni utani labda certificate!!FAni yetu imeingiliwa!
 
unafahamu computer science kweli.

Ni vigumu kwa mtu aliyesoma arts kufanya vizuri kwenye computer science.
Maprogrammer wazuri ni wale ambao ni wazuri kwenye hesabu, je Arts ni wazuri kwenye hesabu?

Inahusisha sana mathematics kama Foundations Analysis, Numeric Analysis, Operational Research, Discrete Mathematics n.k. Je Arts ana uwezo wa kuyamudu haya?

Kuna Programing ing Java, c ,c++ n.k, zinahitaji mathematics je arts ana uwezo wj kumudu?.

Hitimisho:
hapo ni uhuni mtupu, na wanachafua jina la hiyo kozi.

MZEE hii post yako umeijibu kwa umakini mkubwa sana na kama itawezekana uwe unaendelea kutoa michango ya namna hii ili lengo la jukwaa la elimu lifikiwe.
 
EGM,PCB na CBG wenyewe hawagusi hii computer science,itakuwa ngwini!acheni utani labda certificate!!FAni yetu imeingiliwa!
Dah,we wa wapi mkuu?Mbona wengi tu nawafahamu walikuwa hizo combi na wamepiga Computer Science tena bachelor!!
 
MZEE hii post yako umeijibu kwa umakini mkubwa sana na kama itawezekana uwe unaendelea kutoa michango ya namna hii ili lengo la jukwaa la elimu lifikiwe.

kila siku huwa najibu kwa uangalifu, sema tu labda hamkuwa tayari kunielewa.
 
Back
Top Bottom