Tcu mnalitambua hili?


ok! Engineering ina hesabu, hesabu zake sio kama za Computer science zinatofautiana sana. Siwezi kusema zipi ni kali zaidi.

Wanaopaswa kusoma Computer science hasa ni wale waliosoma Advance Mathematics na Physics i.e PCM &PGM. Kutokana na siasa, PCB na CBG nao wamejiingiza, ila kamwe hawawezi fanya vizuri labda kwenye kozi za kumeza meza kama System Analysis and Design, Research Methodology, Human Computer Interactio n.k ila si ktk hesabu na Programing.

Arts wengi wamekimbia Hesabu kuanzia O-Level je ataweza hesabu za Computer Science.

Kuna kozi kama Digital Circuit inahitaji knoledge za Electronics kwenye Physics, hauoni huu ni mzigo kwa mtu wa arts.

Hitimisho:
mtu wa computer science ili awe vizuri lazma awe na msingi mzuri bila hivyo atakuwa ana meza na siku zinaenda.

Hilo linawezekana kwakuwa waalimu nao ni wasanii wasanii, wanarudia mifano ile ile kwenye mitihani. Bingwa wa kumeza anapata A.

Ila ni vigumu sana kwa mtu wa arts kufanya vizuri kama waalimu wakifata misingi ya ufundishaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…