Tcu mnalofanya si jambo jema.

Tcu mnalofanya si jambo jema.

Makbel

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
774
Reaction score
167
Kozi zote ambazo nilitegemea kusoma kwa mkopo (Priority) nimekosa na nimechaguliwa Second round kwa kozi ambayo haina mkopo (Non Priority) na ambayo si chaguo langu.
Je, ina maana mimi kabwela Degree imeota mbawa? Huu si uuungwana wakuu na sisi watoto wa makabwela tutaendelea kulia sana.
 
matokeo ya second round hayajatoka mkuuu.
 
nani kasema non priority utakosa mkopo?
Ebu ka ufikilie kisha uje upya
 
Mkuu kama kunaaliyebahatika kupata matokeo ya second rounda ya SUA afanye msaada wa kuya2pia haja jamvini.
 
Nashukuru kwa kunipa moyo wakuu!
 
Back
Top Bottom