Kozi zote ambazo nilitegemea kusoma kwa mkopo (Priority) nimekosa na nimechaguliwa Second round kwa kozi ambayo haina mkopo (Non Priority) na ambayo si chaguo langu.
Je, ina maana mimi kabwela Degree imeota mbawa? Huu si uuungwana wakuu na sisi watoto wa makabwela tutaendelea kulia sana.
matokeo ya second round hayajatoka mkuuu.