Wakuu,nadhani tatizo kama langu limewapata wengi,niliomba vyuo kulingana na uwezo wangu,na anaeni spons yupo dar,na anataka niwe pale ili asiingie cost kubwa katka kunisaidia kimaisha,lakini cha kushangaza,DUCE nilikuwa ELIGBLE,na nikamshukuru Mungu kwamba ntapata msaada mzuri mpaka namalza chuo,cha kushangaza hawa jamaa wamenichagua TEKU,chuo ambacho hata sikujaribu kukiomba,kutokana na gharama zake na c hvyo tu bal hata hakikuendana na condition nilzopewa na sponser wangu,sasa wakuu,kuna kitu naweza kufanya kama kubadilisha chuo il nifikie malengo yangu,na kama ni ndio naanzia wapi?ukizingatia sikuomba mkopo due to some problems.thank you.