Goma mboa linadunda toka asubuhi mimi nawasaidia vijana hadi sasa nimewapiga tafu vijana 22,
Unatakiwa uaply cozi zisizopungua nane kwa vyuo vyote utakavyo ila kwa chuo kimoja kozi zisizidi tatu kwa maneno hayo basi, ni kwamba unaweza aply kozi moja kwenye kila chuo ukawa umeaply vyuo nane, au mbili mbili ukawa umeaply vyuo vinne au tatu tatu kwa vyuo viwili na kimoja ukaaply mbili. Si lazima ufikishe nane lakini hakikisha kozi unazo aply hazipungui sita in total. NA uwe na sifa nazo ukilinganisha ufaulu wako na cut off points.
OTE=Esir;3863180]Msaada kwa aliyefanikiwa kuapply leo hii maana hawa jamaa wametuambia kwamba tutaanza kuapply leo trh 7 mwezi huu lakini bado system yao inakataa kupokea program choice zaidi ya nne nawakati wao wanasema chaguo la chini lisipungue 6 programs, lakini hata hizo sita hazifiki goma linachomoa na kukurudisha nyuma kwa home page, msada tafadhari