TCU na CHUO hi ni nini tena!!!!!!!!!!!!!

TCU na CHUO hi ni nini tena!!!!!!!!!!!!!

Jemsi

Senior Member
Joined
Mar 22, 2012
Posts
149
Reaction score
19
Jamani wasomi nisaidieni mimi kwenye akaunt yangu ya TCU nimeadmited chuo flan lakini kwenye website ya chuo jina langu halipo...na nina point 7 hapo inakuaje ndugu zangu?naombeni ushauri.
 
Km upo dsm nenda tcu fasta,japo huenda ukawa ushachelewa,bt bod wanaweza nyma ww mkopo km hal ndo hyo!
 
Same problem imetokea kwangu pia i don't undrstnd thz guyz at all.
 
mImi imenitokea....Cha Msingi nenda Kwenye website ya Chuo Ulichochaguliwa then tafuta Contact za Admistration au Dean of faculity Mapema..
mi NimefanyaHivyo NaNikasaidiwa!!!
 
mImi imenitokea....Cha Msingi nenda Kwenye website ya Chuo Ulichochaguliwa then tafuta Contact za Admistration au Dean of faculity Mapema..
mi NimefanyaHivyo NaNikasaidiwa!!!

so walikuambiaje?
 
Ila mbona niliangali idadi ya walioko kwenye facult niliyopangiwa nikakuta ni 17 na wanatakiwa 100 kama ilivyokua kwenye guidebook, inamaanisha bado kuna majina hawajaya update kwenye web yao ila yapo au?
 
Atakayewapgia cmu chuon a2apdate ili 2jue 2fanyaje.!
 
Jamani kwa wale wa udom, me niliwapigia cm wakaniambia kuna majina bado hawaja ya update, mpaka wk ijayo watayaweka pa1 na admission letter on their website! Me nimekuwa admitted computer engineering ila kwenye list yao sipo, wapo wa2 66 wakat wanahitajika 90!
 
Kwani ulicomfirm kozi ktk account yako!

cjacomfirm wala cja apply mara ya pili,na link zote za second round na comfirmation hazikua active,sa sielewi wapoje?
 
cjacomfirm wala cja apply mara ya pili,na link zote za second round na comfirmation hazikua active,sa sielewi wapoje?
hapo inabid ukawaone maana mi nlim2ma mtu aende kuwaona wakasema mpaka trh tano ndo wataupdate majina ylyobaki.
Lkn mi nliconfirm trh 29 confirmation zlikuwa active.
 
Back
Top Bottom