Jamani wasomi nisaidieni mimi kwenye akaunt yangu ya TCU nimeadmited chuo flan lakini kwenye website ya chuo jina langu halipo...na nina point 7 hapo inakuaje ndugu zangu?naombeni ushauri.
mImi imenitokea....Cha Msingi nenda Kwenye website ya Chuo Ulichochaguliwa then tafuta Contact za Admistration au Dean of faculity Mapema..
mi NimefanyaHivyo NaNikasaidiwa!!!
mImi imenitokea....Cha Msingi nenda Kwenye website ya Chuo Ulichochaguliwa then tafuta Contact za Admistration au Dean of faculity Mapema..
mi NimefanyaHivyo NaNikasaidiwa!!!
Ila mbona niliangali idadi ya walioko kwenye facult niliyopangiwa nikakuta ni 17 na wanatakiwa 100 kama ilivyokua kwenye guidebook, inamaanisha bado kuna majina hawajaya update kwenye web yao ila yapo au?
Jamani kwa wale wa udom, me niliwapigia cm wakaniambia kuna majina bado hawaja ya update, mpaka wk ijayo watayaweka pa1 na admission letter on their website! Me nimekuwa admitted computer engineering ila kwenye list yao sipo, wapo wa2 66 wakat wanahitajika 90!
hapo inabid ukawaone maana mi nlim2ma mtu aende kuwaona wakasema mpaka trh tano ndo wataupdate majina ylyobaki.
Lkn mi nliconfirm trh 29 confirmation zlikuwa active.