<br />shule zipi mmesoma? Kama za gvt mka appeal mtapata
<br />DUUH..!hata mimi dogo yupo kwa wenye without loan,infact dogo kachaguliwa UDSM, B sc. Microbiology....cha kushangaza ni kwamba yeye o-level kasoma Ashira girls na A-level kasoma Loleza girls sasa sijui zaidi ya hapo walitaka nini....lakini ngoja tusubiri mana hatuna uwezo wa fees...lets wait...
Hawa jamaa nafikiri hawkujiandaa kabisa!!!! na hii hali wasipozingia italeta taabu sana siku za mbelen vyuoni!! TUNAWEZA AMINI MOJA YA THREAD HUMU JAMVINI ILIYOO KUWA INADAI KUWA WEB SITE YAO I.E TCU ILIKUWA HACKED NA MATOKEO YAKACHAKACHULIWA!!!!DUUH..!hata mimi dogo yupo kwa wenye without loan,infact dogo kachaguliwa UDSM, B sc. Microbiology....cha kushangaza ni kwamba yeye o-level kasoma Ashira girls na A-level kasoma Loleza girls sasa sijui zaidi ya hapo walitaka nini....lakini ngoja tusubiri mana hatuna uwezo wa fees...lets wait...
<br />Hawa jamaa nafikiri hawkujiandaa kabisa!!!! na hii hali wasipozingia italeta taabu sana siku za mbelen vyuoni!! TUNAWEZA AMINI MOJA YA THREAD HUMU JAMVINI ILIYOO KUWA INADAI KUWA WEB SITE YAO I.E TCU ILIKUWA HACKED NA MATOKEO YAKACHAKACHULIWA!!!!
pole mkuu, hata mimi soon ninahisi nitakuwa victim.Me cna ham wapendwa coz am the victim
Hali ni mbaya sana, mimi mpaka sasa cjampa taarifa mzazi wangu, sababu huo uwezo hana, na cha ajabu chuo nilichopangiwa kinataka mpk tar. 20sept niwe nimepeleka nusu ya ada kma laki 5, hapo bado hostel lak 3 na nusu, bado el ya matumizi. Kumbuka hizo ela inapaswa nipate ndan ya wiki hiz 4 yaan mwezi mmoja. Na wakat sifa zote ninazo, Haya c masihara.
we acha nakwambia, cjui ntaish vp chuonpole mkuu, hata mimi soon ninahisi nitakuwa victim.