TCU na HESLB: Mkanganyiko huu UNATATUKAJE?

Jamani nimeshindwa kuyaangalia, naomba anayetumia comp aniangalizie..mimi hapa ninatumia simu. Haiwezi kuisoma hiyo page ni kubwa mno.
 
mkuu pole sana!
 
mkuu pole sana!jaribu kuongea na social welfare officer wa wilaya au mkoa uliopo akupe barua ya recommendation ili ajaribu kuapply upya.
 
bongo bana hakuna haki unashangaaa hilo mbona mimi nilikuwa napata mkopo 100% wakati dada yangu aliyenifata 60% but almost the same coz!!!! wale wanafanya 'SIMPLE RANDOM SELECTION' and not PURPOSIVE selection
 
Ulivyojaza ile fomu ya mkopo ni kigezo kikubwa sana....... ila wanaruhusu kwenda appeal
 
Jamani nimeshindwa kuyaangalia, naomba anayetumia comp aniangalizie..mimi hapa ninatumia simu. Haiwezi kuisoma hiyo page ni kubwa mno.

Mtandao wa TCU haufunguki... unagoma... tusubiri badae
 
Ya mkopo nimepata link nimeyaona, nimekuta wamenipanga mkopo ktk link ya UDSM i think ndipo waliponipanga..
Mtandao wa TCU haufunguki... unagoma... tusubiri badae
 

Bora wewe wamekuchagua, 2nd selection wote hawamo!
 
jaman mwenye idea jinsi ya kuappeal sababu wengine tunahitaji sana hiyo mikopo,naomba anielekeze
 
yaan cjui wamezingatia nin..me na mdogo angu kapata makumira coz ya BAED chakushangaza no loan..sa cjui itakuaje,
 
Mi kuna watu nawashangaa, sekondari f1-4 anasoma filbert bayi, f5-6 anasoma baobab, kote huko ada ni sh mil 2-3 kwa mwaka, anamaliza f6 analilia kupata mkopo.
 
Jamani wengine tumesoma shule za kata o level,na advance tukaungaunga vituition nguzo ya familia(baba)alifariki muda mrefu kabla hata o level sijahitimu,sikupewa vyeti vyangu kwa muda mpaka nilipotafuta pesa kwenda kumalizia ada ili nipewe vyeti.sasa tena nimenyimwa mkopo ivi kweli wanapenda watoto wa maskini tusome kweli?je haya ndio maisha bora kwa kila mtanzania?
 
pole sana ndugu yangu,ndo ccm yetu hyo,karibu chuo tuandamane!
 
mi kuna watu nawashangaa, sekondari f1-4 anasoma filbert bayi, f5-6 anasoma baobab, kote huko ada ni sh mil 2-3 kwa mwaka, anamaliza f6 analilia kupata mkopo.
huenda kote huko alikuwa akisaidiwa, na sasa hakuna msaada
 
wana JF vigezo vya loan ni kuwa na dv 2 pia unatoka familia isiyo na uwezo cha kushangaza nina madogo watano hawajapata mkopo mpaka sasa sijui niwasaidiaje naomba msaada wenu!! madogo wamechanganyikiwa wanaona kama furaha yao ya kwenda chuo kikuu HINATOWEKA kwani wamesoma mazingira magumu alafu wenye dv 3 ila hawajachaguliwa ktk ualimu na sayansi ila amepewa mkopo hapo TCU 2naomba maelezo!
 
me ninaswal 1 .kama hauna mkopo inamaana hela ya kujikimu, stationary na accomodation unajtegemea au? naomba mnijuze!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…