TCU na HESLB Wanaanza kupokea fomu lini?

nkungwe123

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
444
Reaction score
95
Hawa wadau wanafungua lini madirisha yao ya kupokelea bahasha kwa mwaka wa masomo 2014/2015? Kwa anayejua please tujuzane
 
Hata mimi nasubir ila nadhani mpaka matokeo yatoke ya kidato cha sita
 
Mm pia brother ila nadhani kama alivyosema mjumbe maana mifumo ya utoaji wa matokeo. Lakini naamini hdi katikati ya mwezi huu April mambo yatakuwa hewani. Tuendelee kujipanga maana urasimu nao umezidi HELSB.tz
 
we anza kutafuta pesa ya ada ukisubiri HESLB utakwama.:loco:
 
Hawa wadau wanafungua lini madirisha yao ya kupokelea bahasha kwa mwaka wa masomo 2014/2015? Kwa anayejua please tujuzane

Sikuizi hakuna kupanga foleni na kujazana na bahasha kule Tirdo, wanaomba online sio kama enzi zile kila mwaka ukamtafute wakili akulie buku 2 yako ndipo akupigie muhuri dah.
 
mkuu hakuna cha bahasha siku hizi.


mambo yote ni online

kutokana na kidato cha tano kuanza mitihani yao mwanzoni mwa mwezi may nahisi kuanzia mwishoni mwa mwezi huu watafungua pazia.



hata mie nawasubili kwa hamu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…