Daah, ndugu wanaJF hawa jamaa sasa wamekuwa kiini cha kuharibika kwa ndoto za wanafunz weng hasa hasa watoto wa mama n'tilie pamoja na Wakulima maana sasa watoto weng wamekuwa wakilazmika kujaza degree program ambazo hazikuwa kwenye malengo yao yote hii ni kutokana na priority ya mkopo.