TCU na HESLB wanaua ndoto za watu

stewart2

Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
30
Reaction score
4
Daah, ndugu wanaJF hawa jamaa sasa wamekuwa kiini cha kuharibika kwa ndoto za wanafunz weng hasa hasa watoto wa mama n'tilie pamoja na Wakulima maana sasa watoto weng wamekuwa wakilazmika kujaza degree program ambazo hazikuwa kwenye malengo yao yote hii ni kutokana na priority ya mkopo.
 
Ndugu sio kwamba TCU wanaharibu ndoto ila wanafunzi ndo wabishi hawataki kushauriwa katika kujaza kozi we mtu anapata points mbaya afu anang'ang'ana kuomba koz ambazo zna competition kubwa mfano MD, PHARMACY, nk, xaxa km huyo ailaum Tcu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…