TCU na NIT

Ni kwel elim yetu haithaminishwi hivi na walio bahatika kushika nyanja na taasisi mhimu km za tcu???hawawez waza hata kidogo adha tunayopata kubishana na kupata viholo visivyo na maana wakatutolea majina tukawa huru na maandaliz ya kujiunga na hivyo vyuo?jaman si watoe general notice ya mchanganuo wa hayo majina,ofis zinafanya kazi gan?hawoni hiz lawama na matusi??au wanadhani watz tunafanana hali za kiuchumi ndani ya siku tatu tutaweza fika huko vyuoni walikotupanga tukiwa kamili na hela za vianzio huku tukisubiri bodi????wana jf km huna oficial info.ww pitatu kuliko kudanganya watu ooh sjui nimeongea na mtendaji mmoja wa bodi,hizo habari za majumbani hatuzitaki,if umepata chuo kaa kimya usidanganye watu,watz tunapendana na shida zetu zinaelikeana lazima kujaliana...hasa hao tcu!
 
yan kwel kabsa jaman iv n lin ao NIT watayatoa majna maana vyuo vng vshatoa wao cjui wanachokisubr n kip haswa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…