T tendega Member Joined Jun 19, 2013 Posts 61 Reaction score 13 Sep 24, 2013 #1 jaman mbona hawa tcu mambo yao taratibu sana, tangu wametoa nafasi ya kuhama vyuo, mpaka leo hawajatoa majina,na vyuo vimesha funguliwa,hivi hawaoni kama wanawachelewesha wanafunzi masomo?mkopo bado hata majina tu. fanyeni hima basi.
jaman mbona hawa tcu mambo yao taratibu sana, tangu wametoa nafasi ya kuhama vyuo, mpaka leo hawajatoa majina,na vyuo vimesha funguliwa,hivi hawaoni kama wanawachelewesha wanafunzi masomo?mkopo bado hata majina tu. fanyeni hima basi.
Jcp Member Joined Sep 7, 2013 Posts 32 Reaction score 1 Sep 24, 2013 #2 Jaribu kutembelea website ya chuo ulichoomba kuhamia mara kwa mara kwan chuo hucka kitaanza kutoa hyo majina
Jaribu kutembelea website ya chuo ulichoomba kuhamia mara kwa mara kwan chuo hucka kitaanza kutoa hyo majina