Tcu na st joseph university mnaajenda gani ya siri

Joined
Aug 29, 2013
Posts
54
Reaction score
37
Jamani wadau naomba mnipe jibu. kwanini TCU iliikubalia st joseph campus ya arusha wakati hata majengo hayajatengamaa hostel hakuna na chuo kipo porini kweli dada zetu sikwamba watakuwa katika mazingila ya hatar.
2.inawezekana hata tcu walipokuja kukikagua hicho chuo walioneshua kiwanja tu maana haiwazekani toka kipindi cha kuapply hadi sasa hivi chuo hakija kamilika.kweli tunabolesha elimu au tuna bomoa ?
 
Karibu udom kaka ,kwann mpate shida wakati chuo cha serikali ilipowekeza kipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…