Tcu na vyuo kunanini

mwakq

New Member
Joined
Sep 10, 2012
Posts
1
Reaction score
0
WADAU NAOMBA KUULIZA SISI TULIO OMBA TCU NA NI EQUIVALENT MBONA MAJINA YETU HAYAJATOKEA VYUONI MAANA Tangazo la tcu lilituelekeza kuomba huko na sio vyuoni. sasa leo tunaambiwa majina hayapo vyuoni inakuwaje
msaada kwa wadau wenye majibu maana nipo njia panda. na ninahamu ya kwenda kusoma
 
Mbona website nyingi za vyuo zilikuwa zinasema wale wenye Equivalent qualification wa-apply direct kwenye vyuo vinavyohusika
 
Kama ulikuwa admitted kesho au kesho kutwa inatoka General list ya waliochaguliwa vyuoni.Kwa hiyo kuwa mvumilivu.Source TCU.
 
Kama ulikuwa admitted kesho au kesho kutwa inatoka General list ya waliochaguliwa vyuoni.Kwa hiyo kuwa mvumilivu.Source TCU.

Mbona haujaeleweka kuwa admitted kivipi? Then majina yatoke plz weka clear hii statement.
 

sio equivalent ni NTA L6 (Diploma) mimi mwenyewe nimekua admitted chuo fulani ivi ila jina langu alipo chuoni inaonekana majina yaliyopo vyuoni ni form six leavers tu so tusubiri watoe sellection ya watu wote labda tutakuwemo vp kwani wewe umepangiwa chuo gani?
 
Kuwen wavumiliv mpaka nacte waziapprove hzo diploma zenu na ndio maana heslb wanawasubili nacte il watoe loan alocation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…