TCU na watuma maombi ya mwaka wa masomo 2014/2015

TCU na watuma maombi ya mwaka wa masomo 2014/2015

Monnature

Member
Joined
Jun 3, 2013
Posts
14
Reaction score
0
hiv wale ambaw hawakuchaguliwa fist selection na TCU na second selection available slots hazikuw ndio lengo lao, mnawashauri nn au watatimiza vp ndot zao hasa ndugu zetu wa CBG na PCB
 
wafike ofisini wapate maelekezo nafas za kozi za afya zinaongezwa kwa ajili yao
 
Transfer huwa zinatolewa kwenye ukurasa wa TCU soon after release of selected applicants
Hapo unaweza kuhama kutoka chuo kimoja kwenda kingine either course ile ile or course tofauti.
 
tcu now ktk my profile zile program zipo process in black color and what color😕
 
Transfer huwa zinatolewa kwenye ukurasa wa TCU soon after release of selected applicants
Hapo unaweza kuhama kutoka chuo kimoja kwenda kingine either course ile ile or course tofauti.

kwahyo mkuu transfer hizo huwa znafnyka online kwny ukurasa wao huo wa TCU au n mpka ufike kwny ofsi zao?
 
Back
Top Bottom