Mbrazili
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 649
- 90
Msaada wenu tafadhali maana ugeni si kitu chema....nimeejaza fomu ya tcu tayari lakini pale kwenye selection status inasema not yet proccrsed na kule kwenye programs imeandikwa CHECK IN PROGRESS.....kwa juu pale wameandika kwa wote wanaokutana na iregibilty n ccheking progress waclick pale ila mpaka leo hakuna response......swali langu je ni kawaida??? Au nifanye nini...