ukishachaguliwa itaandika eligible kwenye status ya programme ambayo umechaguliwa kusoma na nyingine zote zitaandika not eligible kama hazijaandika hivyo endelea kusubiri najaribu kutembelea prfle yako kila baada ya week kuona kama kjna mabadiliko ucwe na preshaaaaaa
Noo..ukichaguliwa haiw ivo kijana...ukichaguliwa inakuandikiwa umechaguliwa sehem flan kozi na jina la chuo...eligible maana yake umekidh vigezo...na unaeza andikiwa eligible kozi zote(kama umekidhi)!!