Beautifullgirl
Senior Member
- Feb 28, 2013
- 100
- 15
Yan toka mniambie mpo katika progress mpaka leo hii hayo masaa mlonipa 72 yamepita lakini hakuna kinachoendelea mweeee na mda umekwisha,,,2fu hamsini yangu mshakula kiulaini mwee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa lakin mm kila nikilogin bado nakuta ile sms yao kua wako katika progress na masaa yao waliyonipa yamepita na hakuna jipya kila nikiingia bado naambiwa hvohvo tu
Sawa lakin mm kila nikilogin bado nakuta ile sms yao kua wako katika progress na masaa yao waliyonipa yamepita na hakuna jipya kila nikiingia bado naambiwa hvohvo tu
Yan toka mniambie mpo katika progress mpaka leo hii hayo masaa mlonipa 72 yamepita lakini hakuna kinachoendelea mweeee na mda umekwisha,,,2fu hamsini yangu mshakula kiulaini mwee
Hao ni NACTE ndo wana upuuzi huo kwa Diploma Holders lakini Form Six leavers kwa upande wa TCU per sec hawana taabu hiyo. NACTE wameshakula hamsini za watu na hawa respond iwe kupitia simu au email. Shaaaaammmeee on them!!!!
Umekwama kwenye hatua gani ktk kujisajili? then unajisajili kwa sifa ya diploma au oversea? Jaribu kufungua e-mail yako labda kuna maelekezo yoyote umetumiwa.
Hao ni NACTE ndo wana upuuzi huo kwa Diploma Holders lakini Form Six leavers kwa upande wa TCU per sec hawana taabu hiyo. NACTE wameshakula hamsini za watu na hawa respond iwe kupitia simu au email. Shaaaaammmeee on them!!!!
Ondoa hofu huwezi kosa chuo! Nafasi ni nyingi kuliko wenye sifa
Unasumbuliwa2 na lugha ya kigen
Najisajili kama diploma,,,ilipo apload transcript na chet cha diploma ndo nikaambiwa nisubiri. Evaluation progress hapo ndo nilipokwama
Kama hawajakujibu jaribu kuhakikisha kama ulituma transcript na cheti kwa usahihi yaani kwa mujibu ya masharti yao ni lazima uscan kwa kutumia program ya PDF na kuituma ikiwa kwenye format hiyo hiyo ya PDF. pia hakikisha umescan na kutuma pages zote za transcript yako hata kama zipo tatu. na mwisho tembelea e-mail yako kuangalia majibu wakati mwingine wanaweza kuwa wamekutumia e-mail lakini isiende kwenye inbox folder so pia jaribu kuangalia kwenye folders zingine kama Trash na Spam.
^^
Unajua maana ya Laana? Au umejisikia kutamka tu.
^^