B BONANJE Member Joined Jul 13, 2012 Posts 34 Reaction score 3 Sep 13, 2012 #1 Maana CAS haingiliki tokea Saa nne mpaka saa hizi,cju kuna nini Msaada tafadhari ,maana jina langu halipo chuoni.
Maana CAS haingiliki tokea Saa nne mpaka saa hizi,cju kuna nini Msaada tafadhari ,maana jina langu halipo chuoni.
F fidelis zul zorander JF-Expert Member Joined Mar 6, 2012 Posts 685 Reaction score 176 Sep 13, 2012 #2 hawana jipya hao..
utakuja JF-Expert Member Joined Sep 20, 2010 Posts 1,033 Reaction score 900 Sep 13, 2012 #3 inafunguka vizuri tuu
L Long time no see Member Joined Sep 1, 2012 Posts 13 Reaction score 0 Sep 13, 2012 #4 Mkuu inawezaikawa haifunguki kweli sababu najaribu kufungua kwakutumia simu na inagoma
D Dickson Alex Member Joined Jun 1, 2012 Posts 37 Reaction score 4 Sep 13, 2012 #5 wanaanika matangazo yao nini!,maana ndo kawaida yao utasikia wana extend muda wa watu wengine tena wa application.
wanaanika matangazo yao nini!,maana ndo kawaida yao utasikia wana extend muda wa watu wengine tena wa application.
L Long time no see Member Joined Sep 1, 2012 Posts 13 Reaction score 0 Sep 13, 2012 #6 Sasa inafunguka lkn hakuna jipya