Tcu nayo noooouma

Joined
Aug 13, 2012
Posts
16
Reaction score
0
Kwa wale ambao wamechaguliwa faculty ambazo hawakuomba nawashauri waende kwan kwa mujibu wa majibu niliyopata kutoka kwa mtu fulani huko tcu anasema kuwa,"kwa wale ambao watataka kuomba 2nd round appl.itakuwa ni bahati sana kupewa vyuo,hivyo ni bora waende halafu kwenye suala la mkopo watarekebishiwa" mwisho wa kunukuu
 
Huu mwaka ukilamba chambi za serikali basi wewe ni furu bahatii,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…