Baba Collin
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 456
- 58
- Thread starter

- #61

we kama unajua,waambie vijana matokeo ya selection zao ni lini!!over

to be honest anyday from wednesday kila kitu kitakua tayari.ni vema kupitia pia kwenye web za vyuo kwan vyuo vingi tayari wamekabidhiwa orodha.kusema ukweli kuna magumashi fulan hv tcu.bt ni vgumu kuyasema kwa media kwan wanayatatua.

pole,kwa taarifa yako we hujachaguliwa..endelea kupga tempo 2.
kuna possibility kubwa ya programme zilizobaki moja wapo ndio watayokuchagua . na kuhusu hizo za scholarship yawezekana zilikuwa chache na wenyewe vigezo ni wengi so subiri hizi za kibongo tu ...jamani hebu nisaidien mm niliomba scholarship za mozambique,na vyuo vya bongo,bt nilipofungua program zang nlikuta za kibongo tu,na zile scholarship hazipo ambazo ndo zlikuwa my first preferences!sasa inamaana ndo tuseme kwa upand wa scholaship ndo tyr ishakula kwangu au?maana mpk sasa kimya!UZOEFU WENU JAMANI.

Wana jf wenzangu ni wazi kua unsellected applicants tayari majina yao yametoka na wote ambao program zao zilifutwa ndo waliopo kwenye list.msife moyo ndg wangu ktk bwana...

Nasisitiza msikate tamaa ombeni tena japo vyuo ving ni vya private na tutn fees ndo kama hvyo tena.

Nawapongeza wale wote wasiofutiwa program zao.nitarudi tena na body ya mikopo(heslb)muda si mrefu kuwajuza nivpi na nini kinaendelea. inshaaalah tuko pamoja.