Tme ya vyuo vikuu nchini imetoa majina ya watu waliochaguliwa kujiunga na vyuo, tatizo langu ni ile pesa ya mkopo waliyotoa haina mchanganuo kama ni:-
-ada ya mwaka au ni miaka yote?
-ni pamoja na michango?
- ni pamoja na malazi na chakula?
naomba kwa anayefahamu anisaidie
Nikweli kaka, mimi mdogo wangu kaandikiwa 3,440,700 anaenda sauti ambayo adayake kwa mwaka haizidi milioni moja. Na mimi inanichanganya, kwa wanao jua tunaomba mchanganuo
Mdogo wangu amepangiwa Tumaini na amepewa 90% ,ninavyojua mie ni kwamba ukishapata daraja mpaka unamaliza chuo inabaki vivyo hvyo labda kama ikitokea vifo vya wazazi wako..namaanisha ukiwa yatima ndo unaweza kubadilishwa kwa kupewa favour

<br />
<br />
Hafadhali wangeonesha hizo asilimia, mwaka huu hawajaonesha, wametoa figa moja tuu, ni vigumu kujua kama ni Asilimia 100,90,80,70....... naomba mtusaidie kwa hilo