TCU, nini kikwazo mbona muda unasonga?

Mgumu04

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
1,940
Reaction score
1,055
jamani tcu msiendeshe mambo kisiasa mlisema matokeo yatakua mwezi wa 7 mwanzoni mara tarehe4 mara...............
 
Hii thread inatakiwa iende kwenye Hoja mchanganyiko.
 
Ukienda kwenye website yao utakutana na tangazo hili.....................

[h=3]Selected Applicants[/h] Names of selected Applicants for 2011/ 2012 academic year will be published sometimes in July 2011.

Yaani walivyokuwa wazembe hadi leo hawajashtuka kuwa hiyo tarehe ilishapita.


 
TCU ndo nini? Au ndo UDA, DOWANS, RICHMOND, SAIGON, EPA, MEREMETA, KAGODA, EWURA, HESLB, TANESCO, TTCL? Watanzania bwana mnanifurahisha sana! Anyway hii ndo Tanzania bwana.
 
GUMADI
jamani msiwe na wasiwasi yatatoka tu....lakini ahadi zimekua nyingi sasa wameamua kukaa kimya
 
Mhh.Naona matumbo yanawauma kwa wingi wa ngojangoja....ila msisahau subira yavuta heri
 
Mhh.Naona matumbo yanawauma kwa wingi wa ngojangoja....ila msisahau subira yavuta heri...Tanzania kila kitu mbinu jama,elimu,siasa dini n.k.
 
TCU ni aina flan ya chakula
TCU ndo nini? Au ndo UDA, DOWANS, RICHMOND, SAIGON, EPA, MEREMETA, KAGODA, EWURA, HESLB, TANESCO, TTCL? Watanzania bwana mnanifurahisha sana! Anyway hii ndo Tanzania bwana.
<br />
<br />
 
wangefanya fasta kuna dogo wangu kaaply thru tcu chuo kikuu na aliaply diploma ya ualimu tayari huko kachaguliwa wanaanza this month sasa inamwia vigumu kuamua kajaa mchecheto hebu tcu wafirikieni na hao ili ajue ka kakosa chance au kapata ili averfy na mkopo sababu ka akikosa mkopo inabidi aende diploma we cant afford university tuition fees
 
<br />
<br />
duh hapo kazi ipo!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…