Tcu ------ programme zimerudi vile vile ila angalizo

MKL

Senior Member
Joined
Mar 2, 2012
Posts
126
Reaction score
77
Habari za Kuaminika ni kwamba kulikuwa na matengezezo kwenye Mitambo yao (SEVERS); ambayo yalipelekea kubadilika kwa Programm za waombaji na kwamba hilo halikuwa ni tatizo bali ilikuwa ni zoezi la kimatengenezo kwani baada ya hapo wangerudisha Programme kama zilivyokuwa hivyo "tatizo hilo halipo". Kwa sasa maombi ya wadahiliwa yako vilevile kama walivyoomba mwanzo. Kama mwombaji baada ya kuona maombi yake yamebadilika akapanick na kubadilisha anaombwa arudishe kama zilivyokuwa hapo mwanzo na kama hukubadili maombi yako basi maombi yako bado yako vilevile. Hakuna haja ya kupanic. Siku Njema Wadau
 
Yah umeongea kweli mkuu,hata mie jana zilibadilika lakini mda huu nimechek naona zimekua kama zilivokua mwanzoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…