mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Chuo husika ukiingia kweny account yko wanakwambia kozi uliyochaguliwaTunashukuru TCU hatimaye wametoa majina ya waombaji waliochaguliwa kwenye chuo zaidi ya kimoja na wahusika wanatakiwa wa-confirm chuo wanachokitaka. Tatizo ni kuwa hawajaainisha kozi alizochaguliwa kwenye kila chuo maana mwombaji alikuwa anaomba zaidi ya kozi moja kwenye kila chuo. Kwa taarifa ya TCU waombaji bado hawajajua wamechaguliwa kozi zipi. Cha maana zaidi ni aina ya kozi wala siyo chuo maana chuo utakiacha lakini kozi ndiyo itakayohusika na maisha yako. Haiwezekani mtu aka-confirm chuo wakati hajui ni kozi ipi amechaguliwa huko kati ya zote alizozichagua. TCU fanyieni update taarifa yenu ili iainishe kozi pia aliyopata kwenye kila chuo alichochaguliwa.
Chuo husika ukiingia kweny account yko wanakwambia kozi uliyochaguliwaView attachment 853866
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashkuru sana ....bora na we imeliona hilokiukweli huo ndo ukweli. vyuo pia vingetoa majina kama mwaka jana. suala la kuangalia kwenye akaunti lina utata. kwa mfano ardhi university hadi sasa akaunti zao hazifunguki zinaandika aplication still in progress. suala la kozi ni muhimu kuainisha
Cyo vyuo vyote mkuu naona ni UDOM kwingine wanaomba code tu bila kuonesha kozChuo husika ukiingia kweny account yko wanakwambia kozi uliyochaguliwaView attachment 853866
Sent using Jamii Forums mobile app
Udom wametoa na coz walizochaguliwakiukweli huo ndo ukweli. vyuo pia vingetoa majina kama mwaka jana. suala la kuangalia kwenye akaunti lina utata. kwa mfano ardhi university hadi sasa akaunti zao hazifunguki zinaandika aplication still in progress. suala la kozi ni muhimu kuainisha
Kumbe, basi kazi IPO kuna htr ukachagua chuo jina huku ukienda kozi ya chaguo LA mwishoCyo vyuo vyote mkuu naona ni UDOM kwingine wanaomba code tu bila kuonesha koz
Sent using Jamii Forums mobile app
Me nldhani MTU anapo select chuo ana select na course sasa iweje usijue course ya chuo ambacho umedelect we mwenyewe wadau au me ndo sielewi.....
We ndo huelewi
Sent using Jamii Forums mobile app